Wanawake mara nyingi huwa na mioyo migumu kutoa hisia zao kwa maneno hili
hufanya wavulana kuwa na kazi ngumu kutambua hisia zao. Kinyume na imani
maarufu amabyo wavulana wanaweza kuitafsiri ya kua wao hawajui kupenda, lakini
kwao kuvaa ukuta wa kuzuia hisia ni jambo jema. Kuvaa ukuta wa kuzuia hisia
moyoni kunatengeneza ugumu huu wa kutangaza hisia zao unamaana nizuri kabisa,
inamaanisha kua kwa kua wavulana wao ni wepesi kujiachia kuanguka katika upendo
na ulifanya jambo la haraka, hivyo wasichana ujikuta na naneno au maombi ya
wavulana wengi kwa hiyo anajikuta na wavulana kama bilioni hivi.
Kwa sababu hiyo kwa kweli wasichana mara nyingi hulazimika kuchukua fursa hivyo ambayo wakati mwingine ni wasichana wachache watapata kutulia wanavisha mioyo yao ukuta wa kuzuia hisia ili waweze kufanya maanuzi yao kwa taratibu zaidi.Baadhi ya wengi wao hufikiri kua kuvalisha mioyo yao ukuta wa kuzuia hisia ni hatari, kweli ni hatari lakini pia ni muhimu zaidi, maana licha ya kuumiza upande wa kwanza ila upande wa pili ni njia pekee rahisi zaidi ya kuweka upendo wako muhimu mahali salama na kuuokoa moyo wako katika hatari ya kupata kuumizwa sana. Hakika, yote hayo ni kweli. Lakini ukitazama kwa undani kabisa utagundua kitu cha kushangaza kabisa kua ni wasichana wachache sana ambao wamebarikiwa kuwa zawadi ya maamuzi kiwango hiki! Kwa msichana ambaye ameuvalisha moyo wake ukuta wa kuzuia hisia, hizo ndo sifa zifuatazo ambazo atazionyesha kwamba amevaa ukuta wa kuzuia hisia moyoni mwake na hivi ndivyo jinsi wasichana wote wanapaswa kua.
Je, wewe ni mulana uko katika uhusiano ambao umeendelea kwa miezi au hata mwaka na mtu wako hajasema neno 'NAKUPENDA' bado? Sio wasiwasi, napeta kukujuza kua wasichana kwa bahati nzuri wamebahatika kuwa na njia nyingine na ishara ambazo huzitumia kutoa hisia zao ambapo itakupa jibu la wazi kabisa kwa swali la hisia zake kwa ajili yako na mahusiano yenu. Hivyo ishara au mambo yafuatayo yataonekana katika mahusiano yenu:

Atakua tayari kujitoa kwa ajili yako na mahusiano yenu
Msichana yoyote kwa mvulana ambaye anapenda mara zote anajitoa kwake yaani
mara nyingi hua yupo tayari kukaa karibu na ampendae na kuachana na mahitaji
yake binafsi ili kukufanya uwe na furaha na uwe katika hali nzuri. Anayekupenda
yupo tayari kuvua koti lake la kuzuia baridi na kukufunika kwenye baridi
kisha kwenda karibu na mto, kukupa mto na kitanda cha kupendeza wakati yeye
akiwa tayari kulala juu sakafu ngumu au sofa baridi, yupo tayari kukupatia
chakula hata wakati yeye hata kama hajala mwenyewe, wakati wa uzuni hua tayari
kua faraja yako, nk.
Hukufanya kua sehemu muhimu ya maisha yake ya baadaye
Katika kuandaa mipango ya maisha ya baadae. Utaona mipango yake yote
anakuweka katika ndoto zake za siku zijazo ambavyo anataka iwe akionyesha wazi
akilini anataka na wewe uwe sehemu ya ndoto zake, basi ujue kwa hakika kwamba
mtu huyu tayari kihisia amechukuliwa na wewe na anakuzingatia sana kama mtu
muhimu kwake.
Hua yupo tayari kukulinda
Haimaanishi kwamba yeye atakua na wewe popote uendapo macho wazi
kuhakikisha hupoei machoni pake kwa hata sekunde. Bali yeye atakua mtu ambaye
anakupenda na anatamani angekuunga mikono katika kila unalolifanya kwaajili ya
kuboresha mahusiano yenu hata mbele ya umati, anataka umjulishe kuhusu harakati
zako, ratiba zako, kukuunga mkono katika wakati maalum ili kukuhakikishia,
anasimama karibu nawe wakati unapokuwa na marafiki wa kiume, hatua hizi zote ni
mbinu za hila za upendo wake kwa ajili ya mahusiano yenu.
Hua tayari kusimama kwa ajili ya mahusiano yenu
Hua ni mtu ambaye anakupenda hawezi kuacha kukuunga mkono katika umma hata
kama ikiwa umekosea daima atasimama na wewe ili kukukinga katika jicho la umma
na anaendelea kumtuliza au kurekebisha baadaye wakati mtakapokua peke yenu.
Kweli “kuvaa ukuta wa kutunza hisia moyoni” ni jambo zuri lakini hii
ni mbaya pia kwako kwasababu ina mwwna sana kuonyesha hisia zako mtu waziwazi
na kawaida badala ya kuwaweka faragha. Maana kwa kawaida hili sio jambo ambalo
huonyesha kutokuwa na nia ya dhati kufanya kweli, hivyo inaweza kukufanya uwe
na hatarini ya wazi kabisa ya kuharibu mahusiano yako.
Kinakachopaswa kuonekana wazi ili kuboresha mahusiano ni kua wewe binafsi unatafuta kwa dhati kujifunza na kutekeleza zaidi kujiamini katika kupenda na uaminifu katika mahusiano kwa mpenzi wako au hata rafiki na familia. Kumbuka ukuta kazi yake ni kuweka kizuizi cha kupokea na kutoa yaliyo ndani ya moyo wako. Jijenge katika kuamini asili yako mwenyewe na kuanza kuendeleza kujieleza kwa shukrani kwa wakupendao kama mpenzi rafiki na familia yako ya karibu, ukifanya hivyo na kwa hakika itaendelea zaidi na zaidi utaimarika katika kuwa wazi na kuimarisha mahusiano pia.

Aksante!
By Innocent Msanzya

Comments
Post a Comment