USICHEZE NA VIRUS, NOUMA SANA

Unakaa unafikiri, kisha unafanya maamuzi, kuchagua nyimbo moja nzuri ambayo unadhani haitokuchosha kuisikiliza, ukiamini itakuburudisha kila muda wote.
Kisha unafuta nyimbo zote, memory card, kisha unaingiza wimbo huo mmoja uliochagua, unasikiliza saa, siku, wiki, mwezi wa kwanza unaanza kuhisi dhamira ya nyimbo imepitwa na wakati.
Unajikaza kuvumilia, mwezi wa pili unahisi tena kama virus washaanza kuuharibu wimbo, unaanza kukwama kwama kama CD iliyoscrach ndani ya deki, unajiuliza virus hivi vimeingia na wimbo au vilikuepo kwenye memory card?
Kabla hujapata jibu mara kila ukitaka ku-play, inaandika "bad memory format" katika kutaka kuinusulu nyimbo, unaamua ku-scan, ile una-scan Mara paaap! Nyimbo inafutika kabisa!!
😂😂😂😂😂
MAPENZI YA VIDEO, YATAKUTOA KAMASI

Comments